A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, May 14, 2018

Tuzo aliyopewa Neymar yazua utata

Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Neymar (kulia) akikabidhiwa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Ligue 1, Ufaransa na gwiji wa Brazil, Ronaldo Lima (kushoto) baada ya kuwapiku wachezaji wenzake wa PSG, Edinson Cavani na Kylian Mbappe, huku Florian Thauvin wa Marseille akimaliza nafasi ya nne. Lakini tuzo hiyo imeleta maswali, kwa sababu Neymay amecheza mechi 20 tu na kufunga mabao 19, wakati Cavani ndiye mfungaji bora wa Ligue 1 kwa mabao yake 28, akifuatiwa na Thauvin mabao 20.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages