Billnass akiwa ndiye msanii pekee aliyehudhuria msiba wa Marehemu Akwilina katika ibada ya kuuaga mwili katika chuo cha NIT February 22,2018 amefanikiwa kukabidhiwa tuzo na uongozi wa chuo cha NIT Dar Es Salaam kama shukrani zao kwakwe kwa kufanya hivyo.
Kupitia ukurasa wa instagram wa Bill Nas ameandika >>>“Ahsanten Sana Wasomi na Uongozi Mzima Wa CHUO CHA (NIT) Dar es Salaam Campus Tuzo yenu imenifikia na nimeipokea kwa Moyo Mmoja na Heshima kama Mlivyoitoa kwa Heshima nasema Ahsanten Sana #amhumbled #Linthemaking#TAGIUBAVU”
No comments:
Post a Comment