A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, May 24, 2018

Huyu ndiye Binadamu wa kwanza kupandikiziwa Antena kichwani



Kuna hii ya kuifahamu kumhusu Neil Harbisson raia wa Uingereza anayeishi Marekani ndiye anayeshikilia  rekodi za dunia za Guiness kwa kuwa binadamu wa kwanza kupandikiziwa Antena kwenye fuvu la kichwa chake.

Antena hiyo inamsaidia Neil kusikia kwa ufasaha rangi kutokana na Antenna hiyo kuwa na uwezo wa kubadilisha mawimbi ya mwanga kuwa mawimbi ya sauti (converts light waves into sound waves) na kuyasafirisha mawimbi hayo mpaka kwenye mfumo wa ndani wa sikio la Neil.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages