Lambert Mende , msemaji wa serikali JK Kongo atahadharişsha yeyote yule atakaejaribu kuyumbisha usalama wa taifa.
Hayo yamefahamishwa kufuatia mataimshi ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron Jumatano kuwa anaunga mkono pendekezo la Umoja wa Afrika kwa ushirikiano na Angola kuhusu Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imekemea Jumatatu na kutahadharisha taifa lolote ambalo litaingilia kati uhuru wa JK Kongo kwa ushirikiano na mataifa ya Magharibi.
Kwa mujibu wa Lambert Mende, msemaji wa serikali ya Jk Kongo ni njama iliowazi dhidi ya taifa huru. Hayo Lambert Mende ameyazungumza hayo kufuatia matamshi ya rais wa Ufaransa kwa waandishi wa habari akiwa na rais Paul Kagame kuwa ana unga mkono Umoja wa Afrika kwa ushirikiano na rais wa Angola kuhusu JK Kongo.

No comments:
Post a Comment