A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, April 22, 2018

Waziri Tizeba Aagiza Mkurugenzi Wa Bodi Ya Korosho Kusimamishwa Kazi

Wizara ya KilimoWaziri wa wizara ya kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Methew Mtigumwe kusitisha mkataba wa kazi wa Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania Ndg Hassan Jarufo.Waziri Tizeba ametoa agizo hilo kwa katibu mkuu wa wizara hiyo  Jumamosi 21 Aprili 2018 wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mjini Dodoma ikiw...

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages