A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, April 5, 2018

SHULE YA SEKONDARI LAKE TANGANYIKA YATANGAZA NAFASI ZA MASOMO


Uongozi na umiliki uendeshaji mpya wa Shule ya Sekondar Lake Tanganyika unawatangazia watu wote nafasi za masomo kidato cha kwanza na Tatu.

Shule ina mazingira mazuri ya kujifunzia na kusomea kwa wanafunzi na pia shule ina walimu wa kutosha na wazoefu ada zetu ni 700,000 Laki Saba kwa mwaka na michango Laki na Hamsini kwa mwaka ada inalipwa kwa awamu Nne kila awamu 175,000.

kwa maelezo mengine tumia namba zifuatazo 0769697667 / 0745907094 kama kuna kuboresha  vizur sana.




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages