A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, March 1, 2018

WALIOKIMBILIA KWA RC MAKONDA KUPATA MSAADA WA KISHERIA WANAENDELEA KUPATIWA MAJIBU YA KESI ZAO


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda anawatangazia wananchi wote waliowasilisha Malalamiko yao kwenye Ofisi yake dhidi ya Taasisi za Kifedha na Bank kufika Ofisini kwake siku ya kesho March 02 kuanzia Saa mbili asubuhi kwaajili ya kuchukuwa Majibu yao.

Walengwa ni wale waliosikilizwa na jopo la wataalamu na wanasheria wakati wa Wiki ya RC Makonda kutoa Masaada wa kisheria kwa wanyonge iliyofanyika January 29 hadi February 03.

Zoezi la kutoa majibu linaendelea ambapo leo ilikuwa ni zamu ya wananchi wenye malalamiko dhidi ya Kazi na Ajira pamoja na Mirathi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages