A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, March 7, 2018

TANGAZO KUTOKA KWA RC MAKONDA

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ipo kwenye hatua ya kuhitimisha Zoezi la kutoa Mrejesho wa majibu kwa wananchi waliowasilisha malalamiko kwa jopo la Wanasheria na wataalamu ambapo Rc Makonda amewataka wananchi wote walioleta malalamiko yanayohusiana na Madai kufika ofisini kwake Siku ya kesho ili waweze kupatiwa Majibu yao na ushauri.

Aidha Makonda anawatangazia wananchi wote walioleta Malalamiko yanayohusiana na Ardhi kufika siku ya Alhamis March 08 kwaajili ya kuchukuwa Majibu na ushauri wa kitaalamu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages