A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, March 25, 2018

Shule ya Almuntazir yaadhimisha siku ya Usonji

Tazama matukio katika picha maadhimisho ya siku ya Usonji (AUTISM) yaliyofanyika katika Shule ya Almuntazir Islamic leo jijini Dar es Salaam, na  kuhudhuriwa na Naibu spika wa Bunge Mhe. Tulia Akson, Na Naibu waziri wa Afya Maendeleo Jinsia wazee na Watoto Dr. Faustin Ndungulile  pamoja na wabunge mbalimbali wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Naibu Spika wa Bunge  Tulia Akson akikata utepe kufungua matembezi ya siku ya usonji yaliyofanyika leo ambapo yameanza barabara ya Obama katika Shule ya Wavulana Almutazir hadi katika Shule ya wasichana iliyopo bahari beach Jijini Dar es Salaam.







Makumu MKuu wa Shule ya wasichana Almuntazir Mrs. Joan akitoa utaratibu wa shughuli mbalimbali katika 





Naibu spika wa Bunge la jamuhuri ya Tanzania  Tulia Akson,akipokea Zawadi iliyoandaliwa Na Almuntazir School ambapo itakuwa  ni ukumbusho wa kukumbuka siku hii muhimu ya  watu wenye uhitaji maalumu (AUTISM).


Naibu Waziri wa Afya  Maendeleo ya Jamii, Jinsia Maendeleo na Watoto Dr. Faustin Ndungulile Akipokea Zawadi kutoka SHule ya Almuntazir.

 Watoto wenye uhitaji maalum, wakiimba nyimbo katika maadhimisho ya siku ya Usonji Duniani ambapo yamefanyika katika Shule ya  Almuntazir Islamic school,  leo jijini Dar es Salaam.






No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages