Mmoja wa washindi wa droo ya wiki ya promosheni ya
‘Jero yako tu’ ya kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Mwinjuma Mdoe
(kushoto), akipokea zawadi ya simu ya kisasa aina ya Moto C 4G toka Zantel
kutoka kwa Mtaalamu wa Data na Masoko wa Zantel, Hamid Mohamed jijini Dar es
Salaam jana. Mteja wa Zantel akiongeza muda wa maongezi kuanzia shs mia
tano hujipatia nafasi kushiriki na kujishindia Zawadi za pikipiki, baiskeli,
simu na pesa taslimu. Katikati ni Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Bi. Rukia
Mtingwa.
Mmoja wa washindi wa droo ya wiki ya promosheni ya
‘Jero yako tu’ ya kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Mohamed Salum
(kushoto), akipokea zawadi ya simu ya kisasa aina ya Moto C 4G toka Zantel
kutoka kwa Mtaalamu wa Data na Masoko wa Zantel, Hamid Mohamed jijini Dar es
Salaam jana. Mteja wa Zantel akiongeza muda wa maongezi kuanzia shs mia
tano hujipatia nafasi kushiriki na kujishindia Zawadi za pikipiki, baiskeli,
simu na pesa taslimu. Katikati ni Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Bi. Rukia Mtingwa.
Mmoja wa
washindi wa droo ya wiki ya promosheni ya ‘Jero yako tu’ ya kampuni
ya simu za mkononi ya Zantel, Mohamed Salum (kushoto), akionyesha kwa waandishi
wa habari zawadi yake ya simu ya kisasa aina ya Moto C 4G toka
Zantel aliyojishindia mara baada ya kukabidhiwa na Mtaalamu wa Data na Masoko
wa Zantel, Hamid Mohamed (kulia) jijini Dar es Salaam jana. Mteja wa
Zantel akiongeza muda wa maongezi kuanzia shs mia tano hujipatia
nafasi kushiriki na kujishindia Zawadi za pikipiki, baiskeli, simu na pesa
taslimu.
Mmoja wa
washindi wa droo ya wiki ya promosheni ya ‘Jero yako tu’ ya kampuni
ya simu za mkononi ya Zantel, Mwinjuma Mdoe akionyesha kwa waandishi wa habari
zawadi yake ya simu ya kisasa aina ya Moto C 4G toka Zantel
aliyojishindia. Mteja wa Zantel akiongeza muda wa maongezi kuanzia
shs mia tano hujipatia nafasi kushiriki na kujishindia Zawadi za pikipiki,
baiskeli, simu na pesa taslimu.
Meneja Masoko wa Zantel
Tanzania, Bi. Rukia Mtingwa, Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania,
Abdallah Hemedy (kushoto) na Mtaalam wa Data na Masoko wa Zantel, Hamid
Mohamed, wakichezesha droo ya wiki ya promosheni ya ‘Jero yako tu’ ya kampuni
hiyo jijini Dar es Salaam jana. Mteja wa Zantel akiongeza muda wa maongezi
kuanzia shs mia tano hujipatia nafasi kushiriki na kujishindia Zawadi za
pikipiki, baiskeli, simu na pesa taslimu.
No comments:
Post a Comment