A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, February 3, 2018

PICHA: Lowassa alivyofika nyumba kwa Kingunge Kuhani Msiba

Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema,Mheshimiwa Edward Lowassa akitia sahihi kwenye Kitabu cha  maombolezo nyumbani kwa Mzee Kingunge alipowasili jana jioni.

Mbali na Lowassa pia walikuwepo viongozi wastaafu wa serikali kama Mzee Pius Msekwa na mkewe Mama Anna Abdalah,Waziri Mkuu wa zamani Mheshimiwa Salimu Ahmed Salimu,na aliyekuwa Kamanda wa Polisi Dar es Salaam Suleiman Kova.

Kingunge  alifariki alfajiri ya jana Ijumaa februari 02, katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kutokana na kujeruhiwa na mbwa nyumbani kwake jijini Dar 

Mzee Kingune anatarajiwa kuzikwa Jumatatu 05,2018,katika Makaburi ya Kinondoni Dar es salaam.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema,Mheshimiwa Edward Lowassa akitia sahihi kwenye Kitabu cha  maombolezo nyumbani kwa Mzee Kingunge alipowasili jana jioni




Mheshimiwa Edward Lowassa akitoa pole kwa wafiwa

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages