Kaburi la miaka zaidi ya 4 400 limegunduliwa mjini Cairo , kaburi bila shaka liliandaliwa katika kipinidi cha firauni, cheo cha wafalme wa zamani wa Misri katika historia ya bara la Afrika.
Halid el-Anani , waziri anaehusika na masuala ya kistoria nchini Misri alifahamisha katika mkutano ambao ulihudhuriwa na mabalozi kutoka katika mataifa tofauti, alisema kuwa kaburi la miaka zaidi ya 4 400 limegunduliwa El-Cebane.
No comments:
Post a Comment