Batshuayi, ambaye alielekea Dortmund hadi mwisho wa msimu huu alifunga bao lake la kwanza katika kipindi cha kwanza kabla ya kuongeza bao la pili baada ya saa moja .
Mabao hayo mawili yalijiri baada ya bao la Simon Ziller kabla ya Jorge Mere kuwasawazishia wenyeji.
- Wachezaji wawili wanaomzuia Aubameyang kutua Arsenal kwa sasa
- Chelsea yatoka nyuma na kuilaza Watford
- Mesut Ozil asaini kandarasi mpya, Batshuayi aelekea Dortmund
Lakini baadaye Batshuayi alimpigia pasi nzuri Andre Schurrle aliyefunga bao la tatu na kuipatia ushindi Dortmund.
Ushindi huo unaipeleka Dortmund hadi nafasi ya pili katika ligi ya Bundesliga
No comments:
Post a Comment