Meneja Mahusiano na
Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Tanga Cement, Bi. Mtanga Noor (kushoto)
akizungumza katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada
wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 7,965,000 kwa
ajili ya kuboresha miundo mbinu ya elimu mkoani Singida. Hafla ya makabidhiano
ilifanyika kiwandani hapo Pongwe jijini Tanga jana. Wa pili kushoto ni Meneja
Kiwanda wa kampuni hiyo, Mhandisi Ben Leman a Mbunge wa Viti Maalumu wa
Singida, Aysharose Mattembe na wafanyakazi wa Tanga Cement.
Meneja Kiwanda wa Kampuni
ya Saruji Tanga Cement, Mhandisi, Ben Lema (kushoto) akisalimiana na
Mbunge wa Viti Maalum Singida Aysharose Mattembe katika hafla
ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya
shs milioni 7,965,000 kusaidia ukarabati wa madarasa pamoja na nyumba za
walimu katika mkoa wa Singida Halfa hiyo ilifanyika kiwandani hapo, Tanga
jana. Wa pili kulia ni Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa Tanga Cement,
Bi. Mtanga Noor.
Meneja Kiwanda wa Kampuni
ya Tanga Cement, Mhandisi Ben Lema (kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wa
mifuko 600 ya saruji kwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose
Mattembe, katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya
saruji yenye thamani ya shs milioni 7,965,000 kusaidia ukarabati wa
madarasa pamoja na nyumba za walimu katika mkoa wa Singida. Hafla hiyo
ilifanyika kiwandani hapo, Pongwe, Tanga jana. Wengine ni maofisa wa
kampuni hiyo.
Meneja Mahusiano na
Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Tanga Cement, Bi. Mtanga Noor (kushoto)
akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 600 ya saruji kwa Mbunge wa Viti
Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, katika hafla ambayo kampuni
hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs milioni
7,965,000 kusaidia ukarabati wa madarasa pamoja na nyumba za walimu
katika mkoa wa Singida. Hafla hiyo ilifanyika kiwandani hapo Pongwe,
Tanga jana. Wengine ni maofisa wa kampuni hiyo.
Meneja Usambazaji wa
Kampuni ya Tanga Cement, Samuel Shoo (kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa
mifuko 600 ya saruji kwa Mbunge wa Viti Maalum singida Aysharose
Mattembe, katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya
saruji yenye thamani ya shs milioni 7,965,000 kusaidia ukarabati wa
madarasa pamoja na nyumba za walimu katika mkoa wa Singida Hafla hiyo
ilifanyika kiwandani hapo pongwe jijini Tanga jana. Wa tatu kushoto
ni Meneja Kiwanda wa Tanga Cement, Mhandisi Ben Lema na kulia ni Meneja
Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa kampuni hiyo, Bi. Mtanga Noor pamoja na
baadhi ya wafanyakazi wenzao.
Mmoja wa wahasibu wa
Kampuni ya Tanga Cement, Kalutu Juma, akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 600
ya saruji kwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe
(wa pili kulia), katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko
600 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 7,965,000 kusaidia ukarabati
wa madarasa pamoja na nyumba za walimu katika mkoa huo. Hafla hiyo ilifanyika
kiwandani hapo Pongwe, Tanga jana. Wengine ni maofisa wa kampuni
hiyo.
No comments:
Post a Comment