A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, January 31, 2018

Mapigano makali yawahamisha wa Syria

Mapigano makali yawahamisha wa Syria
Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya robo ya milioni ya wa Syria wamekimbilkia Kaskazini Magharibi mwa nchi tangu katikati ya Desemba, baada ya serikali kuanzisha mashambulizi makali.
Afisa wa Misaada wa Umoja wa Mataifa Ursula Mueller ameliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba mashambulizi ya anga na mapigano katika jimbo la Idlib na kaskazini Hama yamesababisha kukimbia kwa jumla ya watu Mia mbili na sabini elfu.
Ameonya kuwa nyingi ya familia hizi wamekuwa wakiishi katika miezi ya baridi na yenye majimaji.
Afisa huyo wa Misada wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi wake kuwa huduma za misaada katika maeneo yenye mizozo, zimekuwa zikikwamishwa na Mamlaka za chini katika maeneo mengine ya nchi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages