Kaimu
katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCM) Shaka Hamdu Shaka (wa tatu
kulia)akishiriki kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa kongamano la
tathmini ya uchambuzi wa utendaji wa miaka miwili wa serikali ya Rais
John Magufuli kwenye Ukumbi wa BKM Mkoani Tanga jana.Kulia ni Mweyekiti
wa ccm wilaya ya Tanga Meja Mstaafu Khamis Mkoba(picha na Fahdi Siraji)
Chipukizi
wa CCM Mkoa wa Tanga wakiimbisha Wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa
kongamano la tathmini ya uchambuzi wa miaka miwili ya serikali ya Rais
John Magufuli kwenye Ukumbi wa BKM Mkoani humo.
Sehemu
ya washiriki kwenye kongamano lililoandaliwa na uvccm kuhusu tathmini
na uchambuzi wa miaka miwili ya utendaji wa serikali ya Rais Dk John
Magufuli lilifanyika Mkoani humo (picha na fahd Siraji)
Katibu
wa ccm mkoa wa Tanga Allan Kingazi akihutubia katika kongamano
lililoandaliwa na uvccm kuhusu tathmini na uchambuzi wa utendaji wa
miaka miwili ya serikali ya Rais Dk John Magufuli
Katibu
wa uvccm wilaya ya Tanga mjini Abdurahman Killo akisoma tamko la uvccm
kuunga mkono utendaji wa miaka miwili wa serikali ya Rais John
Magufuli lilifanyika ukumbi wa BMK Mkoani Tanga.
Sehemu
ya uwakikisjinwa Jumuiya ya Wanawake Mkoa Tanga walioshiriki kwenye
kongamano la tathmini ya Uchambuzi wa utendaji wa miaka miwili ya
serikali ya Rais dk John Magufuli likifanyika mkoani Tanga.
Mwenyekiti
wa uvccm Mkoa Tanga Abdiely Makange akizungumza kabla ya kumkaribisha
Kaimu katibu mkuu wa uvccm Shaka Hamdu Shaka azungumze na makundi ya
vijana wa vyuo na vyuo vikuu.mama lishe na boda boda kwnye Ukumbi bwa
BMK Mkoani Tanga.
Kaimu
katibu mkuu Shaka Hamdu Shaka akizumgumza kwenye kongamano
lilioandaliwa na uvccm kuhusu tathmini ya uchambuzi wa utendaji wa
miaka miwili wa serikali ya Rais dk John Magufuli kwenye ukumbi wa bmk
Mkoani Tanga jana.
No comments:
Post a Comment