Askofu
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani,
Alex Malasusa akiongoza Maelfu ya Waumini wa KKKT wa Dayosisi hiyo
katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa,iliyofanyika jana
Uwanja wa Taifa,jijini Dar.
Naibu
Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Mission na Uinjilisti
Mchungaji, Boniface Kombo akiongoza Lutrijia wakati wa Ibada ya Miaka
500 ya Matengenezo ya Kanisa.
Mchungaji
Lewis Hiza akisoma somo la pili wakati wa Ibada ya Miaka 500 ya
Matengezo ya Kanisa la KKKT iliyoadhimishwa na Dayosisi ya Mashariki na
Pwani katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Mchungaji
Muke Najua kutoka nchini Afrika kusini akitoa mahubiri wakati Ibada
ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa hilo iliyofanyika Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam
Kundi
la watoto zaidi ya 4000 waliopata Ubarikio wa Kipaimara wakati wa Ibada
ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa la KKKT Duniani yaliyofanyika
katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Wachungaji
mbalimbali wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani wakito ubarikio kwa
Vijana wa kanisa hilo amabo wamepata kipaimara leo katika Ibada ya
Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa.
Wachungaji
mbalimbali wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani wakito ubarikio kwa
Vijana wa kanisa hilo amabo wamepata kipaimara leo katika Ibada ya
Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa.
Waumini
wa Kanisa la KKKT wakiwa katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya
Kanisa iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Watoto
wa Shule ya Jumapili wakiwa katika alaiki wa Kanisa la KKKT wakiwa
katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa iliyofanyika katika
Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Askofu
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani,
Alex Malasusa akiwa katika Maandamano ya kuingia Uwanjani wakati wa
Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva akiwa wakati wa Miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa
Waziri
Mkuu wa Zamani Fredrick Sumaye akiwa na Meya wa Jiji la Dar es Salaam
wakati wa ibada ya miaka 500 ya Matengenezo ya Kanisa
Waumini
wa Kanisa la KKKT wakiwa katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya
Kanisa iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment