Sanjay
Rughani akizungumza na wageni waalikwa katika hafla fupi ya chakula cha
jioni ambayo Standard Chartered Bank iliwaandalia wateja wake ambao ni
wenyeji kutoka China.
Bw.
Sun Chengfeng, Mkuu wa kitengo cha uchumi na biashara ambaye ni
mwakilishi wa China nchini Tanzania akizungumza na waalikwa katika hafla
ya chakula cha jioni iliyofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency jijini
Dar es salaam
Mgeni
rasmi Mh. Charles Mwijage Waziri wa viwanda,biashara na uwekezaji
akibadilishana mawazo na Bw, Chengfeng , Mkuu wa kitengo cha uchumi na
biashara ambaye ni mwakilishi wa China nchini Tanzania katika hafla ya
chakula cha jioni iliyoandaliwa na standard charterd bank
Wawakilishi
kutoka standard chartered bank china, pamoja na afisa mtendaji mkuu wa
standard chartered bank Tanzania wakimsikiliza kwa makini Mh. Waziri
Mwijage.
Afisa
mtendaji mkuu wa benki ya Standard Chartered Tanzania Bw. Sanjay
Rughani akizungumza na waandishi wa habari kuhusu OBOR initiative katika
mkutano uliofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency
Vijana
kutoka kundi la Tanzania House of Talent (THT) wakitoa burudani kwa
wageni na waalikwa wa standard chartered bank katika hafla iliyoandaliwa
katika hoteli ya Hyatt Regency.
Burudani kutoka kundi la THT ikiendelea
No comments:
Post a Comment