Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge
Mutahaba, Jumatatu hii amefunguka kuzungumzia tetezi ya kwamba Tamasha
la Muziki la Fiesta litaishia 6 usiku tofauti na miaka iliyopita
kutokana na hali ya usalama.
Hatua hiyo imekuja baada ya Mkuu wa
Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda hivi karibuni akiwa katika kituo cha
redio cha EFM kuzungumza juu ya matukio ya burudani kutotakiwa
kufanyika zaidi ya saa sita usiku kwenye maeneo ya wazi Dar es salaam.
Tamasha
la FIESTA 2017 linatarajiwa kufanyika Leaders Club Jumamosi hii
November 25 huku ticket tayari zikiwa zimeshazagaa mitaani.
Ruge
ambaye ni Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group amesema
“Tunafanya juhudi za kujaribu kuona kama tunaweza tukampata Mkuu wa
Mkoa”
Post Top Ad
Your Ad Spot
Wednesday, November 22, 2017
RUGE AKUTANA NA RC MAKONDA KUHUSU FISTA
Tags
BURUDANI#
Share This
About kilole mzee
BURUDANI
Labels:
BURUDANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment