Mwenyekiti
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akisoma dua
ya kuiombea nchi na Bunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa
wa Bunge leo Mjini Dodoma.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye
ulemavu akiwasilisha Taarifa ya Mwaka ya Chuo kikuu cha Dodoma kwa mwaka
2015/2016 kwa niaba ya Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia wakati wa
kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu(watu wenye Ulemavu) Mhe. Stella Ikupa
akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano
wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.
Mbunge
wa Viti Maalum(CCM) Dk.Christine Ishengoma akiuliza swali wakati wa
kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri-TAMISEMI Mhe.Joseph Kakunda akitolea ufafanuzi maswali
mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa
Bunge leo Mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Nchemba Mhe. Juma
Nkamia wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini
Dodoma.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.Kangi Lugora
akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano
wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri Wizara ya Nishati Mhe.Subira Mgalu akijibu hoja mbalimbali za
wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini
Dodoma.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhe.Juma Aweso akitolea
ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha pili cha
Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdalah Ulega akiotolea
ufafanuzi maswali ya wabunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa
tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment