Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seuf Ali Idi akisalimiana na Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe
mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Halmashairi ya Wilaya ya
Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya Kushuhudia
utiwaji wa saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale
Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe
kulia akitoa taarifa kuhusiana na Uwekaji saini ujenzi wa Barabara za
Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni
hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A
Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Waziri
wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Balozi Ali Karume akitoa hotuba
kuhusiana na Ujenzi wa Barabara katika hafla ya Uwekaji saini ujenzi wa
Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na
Fuoni Kombeni, iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya
Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe
kushoto akitiliana saini na Mkurugenzi Muendeshaji wa Kampuni ya China
Civil Engineering Construction Corporation(CCECC)Jiang Yigao kuhusiana
na ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe
Muyuni na Fuoni Kombeni,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi
ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe
kushoto akikabidhiana vitabu vya mikataba na Mkurugenzi Muendeshaji wa
Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation(CCECC)Jiang
Yigao Baada ya kutiliana saini kuhusiana na ujenzi wa Barabara za
Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni
Kombeni,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya
Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seuf Ali Idi akitoa hotuba katika
hafla ya utiaji saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda
Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni,hafla
iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A
Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Baadhi
ya wageni waalikwa waliohudhuria katika hafla ya uwekaji saini ujenzi
wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale Kiongele,Matemwe Muyuni na
Fuoni Kombeni, iliofanyika katika Ukumbi wa Halmashairi ya Wilaya ya
Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seuf Ali Idi akiwa katika picha ya
pamoja na Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya uwekaji
saini ujenzi wa Barabara za Bububu Mahonda Mkokotoni,Pale
Kiongele,Matemwe Muyuni na Fuoni Kombeni, iliofanyika katika Ukumbi wa
Halmashairi ya Wilaya ya Kaskazini A Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini
Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment