Katibu
Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bi. Maimuna Tarishi akisalimiana na Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola
wakati wa kumpokea alipowasili katika ofisi yake Mjini Dodoma Novemba
9, 2017.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola
akisalimiana na baadhi ya watumishi wa Ofisi hiyo wakati alipowasili
katika ofisi yake mpya Mjini Dodoma Novemba 9, 2017.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola
akisalimiana na baadhi ya watumishi wa Ofisi hiyo wakati alipowasili
katika ofisi yake Mjini Dodoma Novemba 9, 2017.
Mkurugenzi
wa Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Issa Nchansi
(kushoto) akiongozana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na
Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola katika ofisi yake mpya mara baada ya
kuwasili Mjini Dodoma Novemba 9, 2017.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola
akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili katika ofisi yake mpya
Novemba 9, 2017 Dodoma.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola
akiteta jambo na Katibu Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bi. Maimuna Tarishi
mara baada ya kuwasili katika ofisi yake Mjini Dodoma.
Mkurugenzi
wa Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Issa Nchansi
akizungumza jambo wakati wa kikao cha Wakuu wa Idara na Vitengo Ofisi
hiyo walipokutana kumkaribisha Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na
Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola katika ofisi yake Mjini Dodoma
Novemba 9, 2017.
Mkurugenzi
wa Idara ya Sera na Mipango Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Packshard Mkongwa
akitoa neno la shukrani kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na
Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola mara baada ya kumpokea rasmi katika
Ofisi hiyo Novemba 9, 2017 Mjini Dodoma.
Mkurugenzi
wa Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Issa Nchansi
akiwatambulisha Wasaidizi wa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na
Uratibu) Profesa Faustine Kamuzola mara baada ya kuwasili katika ofisi
yake Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment