Mkuu
wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akishiriki kazi ya uzalishaji
chaki wakati wa ziara ya kikazi ya kutembelea Kiwanda cha usagaji wa
unga wa Gypsum na Uzalishaji chaki cha Dober Color Kilichopo katika Kata
ya Itigi-Majengo Halmashauri ya Itigi
Mkuu
wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akikagua kiwanda cha usagaji
wa unga wa Gypsum na Uzalishaji chaki cha Dober Color Kilichopo katika
Kata ya Itigi-Majengo Halmashauri ya Itigi wakati wa ziara ya kikazi
Kaimu
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji
Jumanne Mtaturu akimkabidhi boksi tano za chaki Mkuu wa Mkoa wa Singida
Mhe Dkt Rehema Nchimbi mara baada ya kutembelea na kukagua kiwanda cha
usagaji wa unga wa Gypsum na Uzalishaji chaki
cha Dober Color Kilichopo katika Kata ya Itigi-Majengo Halmashauri ya Itigi wakati wa ziara ya kikazi
Kaimu
Mkuu wa Wilaya ya Manyoni ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji
Jumanne Mtaturu akishiriki kazi ya uzalishaji chaki wakati wa ziara ya
kikazi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi kutembelea
Kiwanda cha usagaji wa unga wa Gypsum na Uzalishaji
chaki cha Dober Color Kilichopo katika Kata ya Itigi-Majengo Halmashauri ya Itigi
Mkuu
wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akisalimiana na Meneja wa
kiwanda cha Uzalishaji chaki cha Dober Color Ndg Mukhtar Mahamood mara
baada ya kuwasili kiwandani hapo
Mkuu
wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akikagua mizinga ya nyuki mara
baada ya kutembele kiwanda Uzalishaji chaki, Mafuta ya Alizeti na Asali
cha Fahari Kilichopo katika eneo la
Tambukareli
Halmashauri ya Mji wa Itigi wakati wa ziara ya kikazi, Kulia kwake ni
Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Manyoni ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe
Miraji Jumanne Mtaturu
Ukaguzi wa kiwanda cha uzalishaji Chaki
Mkuu
wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akikagua eneo la kutunzia Unga
wa Gypusm katika kiwanda cha uzalishaji Gypsum cha Sanjaranda,
Halmashauri ya Itigi
Mkuu
wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akizungumza kwa njia ya simu
na mmiliki wa kiwanda cha uzalishaji unga wa Gypsum cha Sanjaranda Bw
Rashid Said Rashid akiwa Dar es salaam ambaye alimuhakikishia Mkuu wa
Mkoa kuwa mpaka kufikia Januari 2018 uzalishaji wa Gypsum utaanza katika
eneo la Sanjaranda, Halmashauri ya Itigi ili kurahisisha huduma hiyo.
Mkuu
wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akiwa kwenye shamba la Mkulima
Juma Patrick na kujionea mikorosho inavyoharibika kwa kukosa dawa
ambapo alizungumza kwa njia ya simu na muwakilishi wa Bodi ya Korosho
akiwa Dar es salaam ambaye alimuhakikishia Mkuu wa Mkoa kuwa dawa za
kuua wadudu kwenye Mikorosho zitawasili kati ya Jumanne Septemba 26 na
Jumatano 27, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akionyesha chaki bora zinazozalishwa Wilayani Manyoni Mkoani Singida
Mkuu
wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema Nchimbi akisalimiana na Mwenyekiti wa
Halmashauri ya Itigi Mhe Ally Minja mara baada ya kuwasili Kwa ajili ya
kutembelea Kiwanda vya usagaji unga wa Gypsum na uzalishaji chaki.
Miongoni
wafanyakazi wa kiwanda cha Uzalishaji chaki cha Dober Color wakiendelea
na kazi wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Dkt Rehema
Nchimbi
No comments:
Post a Comment