A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, September 28, 2017

Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri aeleza kinachojili Tanzania kwenye tasnia ya habari

 
Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Tanzania Absalom Kibanda amesema kuwa upatikanaji wa taarifa 
unabanwa na sheria nyingi hapa nchini ambazo zinanyima uhuru wa kupata taarifa.
 
Amesama hayo leo katika kongamano liliofanyika jijini Dar es salaam la kujadili siku ya upatinaji wa taarifa na kusema kuwa Tanzania kuna sheria nyingi ambazo zinatungwa kwa lengo la kuminya upatikaniwa taarifa ikiwemo sheria ya mtandao, sheria usalama wa taifa, sheria hudama za habari, na sheria za takwimu  hivyo sheria hizi zimetungwa mahususi kwa lengo la kuminya wanahari na vyombo vya habari.

Aidha kutokana na sheria hizi huwa zinakuja na kauli za vitisho ambazo zinatumiwa na wasimamizi vibaya huku wamiliki wa vyombo vya habari wakitishwa kwa kaulili mbalimba na kupelekea kupoteza lengo la upatikanaji wa habari.

 Waandishi wanakuwa na wakati mgumu wa uwasilishaji wa taarifa kwani wanatoa ama kuandika taarifa kwa uwoga kutokana na vitisho hivyo kupelekea taarifa kuwa finyu, kutokana na kuogopa kauli za vitisho kutoka kwa wasimamizi wa sheria hizo.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages