Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe Dkt. John Magufuli
akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi
(CCM-Taifa) kabla ya kufungua mkutano huo jijini Dar es Salaam.

wa Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe. Dkt. John Magufuli
akijadiliana jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM kwa upande wa Tanzania
Bara Rodrick Mpogolo kabla ya kufungua mkutano huo wa Halmashauri Kuu ya
Chama cha Mapinduzi (CCM) jijini Dar es Salaam.
Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) wakipiga makofi
mara baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM Taifa) Rais Mhe
Dkt. John Magufuli kuwasili ukumbini hapo jijini Dar es Salaam.

wa Chama cha Mapinduzi (CCM-Taifa) Rais Mhe Dkt. John Magufuli akipiga
makofi mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wa Wajumbe wa
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiendelea na Kikao jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment