A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, September 19, 2017

JOB NDUGAI MGENI RASMI KATIKA KONGAMANO LA MTANDAO WA WANAMAOMBI TANZANIA(APN)

IMGL6113
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mchungaji Kelvin Ngaeje wa kanisa la Anglican baada ya kualikwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Kongamano la Mtandao wa wanamaombi Tanzania (APN) uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo kikuu cha St.John kilichopo Mjini Dodoma.
IMGL6139
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akisaini kitabu cha wageni kabla ya kufungua  Kongamano la Mtandao wa wanamaombi Tanzania (APN) lililofanyika leo katika ukumbi wa Chuo kikuu cha St. John kilichopo Mjini Dodoma.
IMGL6246
Wanamaombi wa Mtandao Tanzania (APN) wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (hayupo kwenye picha) wakati akifungua Kongamano la Mtandao wa wanamaombi Tanzania (APN)uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo kikuu cha St. John kilichopo Mjini Dodoma.
IMGL6318
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kushoto)akizungumza wakati akifungua Kongamano la Mtandao wa wanamaombi Tanzania (APN) lililofanyika leo katika ukumbi wa Chuo kikuu cha St. John kilichopo Mjini Dodoma. kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Dkt. Emmanuel Mbennah, Askofu Dudly Magon (wa pili kulia) na Mchungaji Can Ruwa (kulia).
PICHA NA OFISI YA BUNGE

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages