Sunday Shomari alipokutana na mtangazaji Kevin Frazier wa Entertainment tonight huko New Orleans Louisiana kandoni mwa mkutano.Kwa habari zaidi ingia: voaswahili.com
voaswahiliinstgram voaswahilifacebook
Hapa kazi tu kikosi cha VOA kilichokuwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari weusi huko New Orleans Louisiana.
Hii si harusi bali ni moja ya matembezi yaitwayo Dirty White huko New Orleans wanatembea kupiga matarumbeta na kucheza kama mdundiko na matarumbeta ya harusi za wasambaa.
No comments:
Post a Comment