A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, August 11, 2017

RAIS WA MISRI ABDUL FATTHAH AL SISI, KUFANYA ZIARA NCHINI.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amewataka wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam, kujitokeza kwa wingi siku ya juma tatu tarehe 14/08 mwaka huu kumlaki  Rais wa Misri  Abdul Fatthah Alisisitiza , ambapo anakuja  kwa ziara ya  kikazi siku mbili.

Akizungumza za jijini Dar es Salaam Mhe Makonda amesema, ujio wa Rais huyo utaambata na na Maafisa wengine ambapo  mkoa utafaidika Kiuchumi  kwa kuwa wageni hao  watakuwa na mahitaji mbali mbali ikiwemo chakua na Malazi .

Amesema megeni atawasili kuanzia majira ya saa sita adhuhuli akitokea Misri na talakiwa na Mwenyeji wake Mhe. Rais Dr John Pombe Magufuli uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu, Nyerere na kuelekea Ikulu Magogoni.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages