A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, August 12, 2017

HASHEEM THABEET AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI


Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Mtanzania anayecheza mchezo wa kikapu nje ya nchi, Hasheem Thabeet (kushoto), walipokutana kwa ajili ya Maandalizi ya Tamasha la Usalama Barabarani, linalotarajiwa kufanyika kesho Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni(wapili kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Mtanzania anayecheza mchezo wa kikapu nje ya nchi. Hasheem Thabeet (wapili kushoto), baada ya mazungumzo ya Maandalizi ya Tamasha la Usalama Barabarani, linalotarajiwa kufanyika kesho Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.Wengine ni ujumbe ulioongozana na mchezaji huyo.

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKLALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages