Mjane wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini
Mama Graca Machel akihutubia wakati wa kufunga Mkutano wa Maendeleo ya Wanawake
kwenye Uchumi na Jamii (Women Advance in Africa ) Uliofanyika Jijini Dar es
Salaam kwa takribani siku tatu na kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya
Afrika.
Mjane wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini
Mama Graca Machel akihutubia wakati wa kufunga Mkutano wa Maendeleo ya Wanawake
kwenye Uchumi na Jamii (Women Advance in Africa) Uliofanyika Jijini Dar es
Salaam kwa takribani siku tatu na kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya
Afrika.
Mjane wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini
Mama Graca Machel akiteta jambo na Waziri Mkuu wa Zamani Nchini, Jaji Joseph
Sinde Warioba kabla ya kufunga Mkutano wa Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi
na Jamii (Women Advance in Africa ) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam kwa
takribani siku tatu na kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika.
Baadhi ya Wanawake kutoka nchi Mbalimbali
Walioshiriki Mkutano wa Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii (Women
Advance in Africa ) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam kwa takribani siku tatu na
kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika.
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde
Warioba akizungumza jambo na Mwanaharakati wa siku nyingi Getrude Mongela
wakati wa Kufunga Mkutano wa Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii (Women
Advance in Africa ) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam kwa takribani siku tatu na
kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika.
Baadhi ya Wanawake kutoka nchi Mbalimbali
Walioshiriki Mkutano wa Maendeleo ya Wanawake kwenye Uchumi na Jamii (Women
Advance in Africa ) Uliofanyika Jijini Dar es Salaam kwa takribani siku tatu na
kuwakutanisha Wanawake kutoka kila pembe ya Afrika.
No comments:
Post a Comment