A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, August 2, 2017

DTB YAZINDUA TAWI JIPYA LA 13


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba (watatukushoto),akikata utepe kuzindua ​ t​awi jipya la Benki ya Diamond Trust (DTB),​jijini Dar es Salaam jana.wapili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Viju Cherian na wengine ni maofisa wa DTB.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana katika uzinduzi wat​awi jipya la Benki ya Diamond Trust (DTB) mtaa wa Uhuru, Kariakoo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba (kushoto), akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Diamond Trust (DTB),Viju Cherian katika uzinduzi ​wa tawijipya la b​enki hiyo mtaa wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana. (Picha zote na Kilole Mzee Blog).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages