A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, July 31, 2017

NHIF YAZINDUA RASMI KADI YA BIMA YA AFYA TOTO KADI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akikata Utepe kuashiria uzinduzi wa bima ya afya ya Mtoto Toto  Afya Kadi' leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Bernad Konga akizungumza juu ya mpango wa bima ya afya ya Mtoto katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza juu ya bima ya afya kwa mtoto katika jiji la Dar es Salaam wakati uzinduzi wa bima hiyo katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza katika uzinduzi wa bima ya afya kwa mtoto katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti  wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Anne Makinda akizungumza katika uzinduzi wa kadi ya bima ya afya kwa watoto iliyopewa jina la Toto Afya Kadi ulioandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),  katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
Mkurugenzi wa Hospitali ya TMJ, Parul Chhaya akisalimiana na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu katika uzinduzi wa kadi ya bima ya afya kwa watoto iitwayo Toto Afya Kadi ulioandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Pia ametoa ahadi ya kuwakatia Toto Afya bima kadi watoto 100 wanaotoka katika familia duni. Katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  Ummy Mwalimu.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza na  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Konga katika uzinduzi wa kadi ya bima ya Afya kwa watoto iliyopewa jina la Toto Afya Kadi ulioandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wa (NHIF),  katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Wa pili kulia ni Mwenyekiti  wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Anne Makinda. Mwingine ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages