A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, July 27, 2017

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA OPEN AIR FESTIVAL ,BONN,UJERUMANI

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni au Viumbe wa ajabu "Anunnaki Aliens" yenye makao yake
nchini Ujerumani inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho la wazi la Orient-Afrika litakalo fanyika mjini Bonn,Ujrumani siku ya Ijumaa 28.Julai 2017
saa 2.00 Usiku(20.00 hrs),bendi hiyo inayoongozwa na Kamanda Ras Makunja inadumu katika medani ya muziki kwa miaka 24 na kufanikiwa kuteka washabiki wa kimataifa,pamoja na kuachia nyimbo na CD kadha
bendi hiyo imejizolea umaarufu katika majukwaa ya kimataifa wa mdundo wa  Extraordinary "Bongo Dansi"  unaowatia kiwewe washabiki barani ulaya. Usikose kujumuika nao at www.ngoma-africa.com au www.instagram.com/ngomaafricaband

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages