A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, July 18, 2017

BRAZUKA KIBENKI: MAOFISA WA BENKI KUONESHA UMAHILI WAO VIWANJANI


Beki wa timu ya soka  ya Benki y NMB Hezbon Mpate (kushoto), akiwnia mpira na mshambuliaji wa 
timu ya Benki ya DTB Martin Komba wakati wa mchezo wa uzinduzi wa mashindano  ya ligi ya mabenki iiyopewa jina la Brazuka kibenki  itakayo shirikisha timu15 kutoka Benki mbalimbali. mchezo huo wa uzinduzi ulifanyika katika viwanja vya Gymkhana Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. DTB iliibamiza timu ya NMB kwa mabao 4-0
 Mshambuliaji wa timu ya Benki ya DTB Martin Komba  (kulia), akiwatoka ma beki wa timu ya NMB wakati wa mchezo wa uzinduzi wa mashindano  ya ligi ya mabenki iyopewa jina la Brazuka kibenki  itakayo shirikisha timu15 kutoka Benki mbalimbali. mchezo huo wa uzinduzi ulifanyika katika viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. DTB iliibamiza timu ya NMB kwa mabao 4-0

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages