Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa
Jumuiya ya kikristo Tanzania, Askofu Dkt. Alex Malasusa kabla ya kuanza
harambee kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania,
katika tukio lililofanyika leo Mjini Dodoma, Spika Ndugai pia ni Mgeni
rasmi na aliongoza Wabunge katika harambee hiyo.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akisalimiana na Waziri Mkuu
Mstaafu, Mheshimiwa Mizengo Pinda (kushoto) kabla ya kuanza harambee kwa
ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, katika tukio
lililofanyika leo Mjini Dodoma. katikati ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya
kikristo Tanzania, Askofu Dkt. Alex Malasusa
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia)akiongoza Wabunge Mbali
mbali kucheza nyimbo ya injili kama njia moja wapo ya kuhamasisha
uchangiaji kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania,
tukio lililofanyika leo Mjini Dodoma
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza jambo kabla ya kuanza
harambee kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania,
tukio lililofanyika leo Mjini Dodoma. kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu,
Mheshimiwa Mizengo Pinda na katikati ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya
kikristo Tanzania, Askofu Dkt. Alex Malasusa
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akiteta jambo na Katibu wa
Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) baada ya kumalizika kwa harambee
kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, tukio
lililofanyika leo Mjini Dodoma, Pia Spika Ndugai aliongoza Wabunge
katika harambee hiyo.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Mizengo Pinda (kushoto) akisalimiana na Katibu
wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) baada ya kumalizika kwa
harambee kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania,
katikati ni Ndg. Elton Mapesa Mwakilishi wa Harambee kutoka External,
Ubungo Jijini Dar es Salaam. Katika harambee hiyo, Spika wa Bunge,
Mheshimiwa Job Ndugai aliwaongoza wa Bunge katika uchangiaji wa ujenzi
wa jengo hilo.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Mizengo Pinda (wa pili kushoto) akizungumza
jambo baada ya kumalizika kwa harambee kwa ajili ya ujenzi wa jengo la
Jumuiya ya kikristo Tanzania, kulia ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas
Kashililah, kushoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya kikristo Tanzania,
Askofu Dkt. Alex Malasusa na wa pili kulia ni Ndg. Elton Mapesa
Mwakilishi wa Harambee kutoka External Ubungo Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment