Naibu
Waziri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk
Khamis Kigwangalla akionyesha Ripoti ya Watoto baada ya kuizindua jana
Mjini Dodoma.wa pili (kushoto) ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii Bi Sihaba
Nkinga na Kushoto ni Mwenyekiti Baraza la Watoto Joel Kiyungu.
Naibu
Waziri Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk
Khamis Kigwangalla, Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto(Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii Bi Sihaba
Nkinga na Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Joel Kiyunga wakionyesha Ripoti
ya Watoto baada ya kuzinduliwa jana Mjini Dodoma.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto(Idara kuu
ya Maendeleo ya Jamii Bi Sihaba Nkinga akisoma kipeperushi katika banda
la UNICEF katika kongamano la Watoto,Wazazi/Walezi na Wadau katika
kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika Mkoani Dodoma.
Naibu
Waziri Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk
Khamis Kigwangalla akipata maelezo baada ya kutembelea banda la Plan
Internaltional katika kongamano la Watoto,Wazazi/Walezi na Wadau katika
kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika Mkoani Dodoma.
Naibu
Waziri Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk
Khamis Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Wizara
ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto(Idara kuu ya Maendeleo
ya Jamii Bi Sihaba,Mwakilishi wa UNICEF Nchini Bi Maniza Zaman
na Mkurugenzi wa Watoto Bi Margareth Mussai katika kongamano la
Watoto,Wazazi/Walezi na Wadau katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika
iliyofanyika Mkoani Dodoma.
Mkurugenzi
wa Watoto Bi Margareth Mussai akiwa na wabunge wa Viti Maalum Bi Fatma
Taufiq, Kiteto Koshuma na Bi.Suzan Lyimo katika kongamano la
Watoto,Wazazi/Walezi na Wadau katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika
iliyofanyika Mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment