Mwenyekiti
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu
akiongoza Kikao cha 47 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 jana June 14,
2017 Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleimani Jafo akijibu
maswali mbalimbali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la
11 jana June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula
akijibu maswali mbalimbali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa
Bunge la 11 jana June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt Medred Kalemani akijibu maswali
mbalimbali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 jana
June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Mbunge
wa Ileje (CCM) Mhe. Janeth Mbene akiuliza swali katika Kikao cha 47 cha
Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 jana June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Mbunge
Viti Maalum (CCM) Mhe. Mwantumu Haji akiuliza swali katika Kikao cha 47
cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 jana June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Mbunge
Kyerwa (CCM) Mhe. Innocent Bilakwate akiuliza swali katika Kikao cha 47
cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 jana June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Ashatu Kijaji akijibu swali katika
Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 jana June 14, 2017 Mjini
Dodoma.
Mbunge Mdaba (CCM) Mhe. Joseph Mhagama akiuliza swali i katika Kikao
cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 jana June 14, 2017 Mjini
Dodoma.
Mbunge
Tunduru Kusini (CCM) Mhe. Daimu Mpakate akiuliza swali katika Kikao cha
47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 jana June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Mbunge Viti Maalum (CCM) Mhe. Angelina Malembeka akiuliza swali katika
Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 jana June 14, 2017 Mjini
Dodoma.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akijadiliana jambo na
Mbunge wa Buyungu Mhe.Kasuku Bilago katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa
Saba wa Bunge la 11 jana June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa
akisalimiana na baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania wakati akiwasili Bungeni kuhudhulia Kikao cha 47 cha Mkutano wa
Saba wa Bunge la 11 jana June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa
akijadiliana jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne
Maghembe katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 jana
June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Baadhi
ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia
Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 jana June 14, 2017 Mjini
Dodoma.
No comments:
Post a Comment