Mhusika mkuu katika Mchezo wa Jukwaani wa 'UNTOLD SORY ' Amani Kipimo
akiwa jukwaani katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini dar es Salaam.
Sehemu ya Waigizaji wa mchezo wa kuigiza wa Untoldy Story wakiwa
jukwaani wakati wa utambulishwaji wa mchezo huo
Msanii mkongwe wa Luninga na Jukwaani Susan Lewis ‘Natasha’ akiwa na
Mhusika mkuu wa mchezo wa Untold Story Amani Kipimo 'Ngasu'
Sehemu ya watu waliofika kushuhudia mchezo huo wa Untold Story ambao
ulibua hisia na kuwa gumzo kwa watu wengi sana
Baadhi ya waigizaji wa mchezo huo wa jukwaani wakionyesha uwezo wao wa
kucheza na jukwaa
Rais wa Shirikisho la Filamu nchini Simon Mwakifamba akisiamama kwa
heshima mara baada ya kuona mchezo huo ambao ulivuta hisa za wengi
Moja ya sehemu za mchezo huo wa kuigiza ukiwa jukwaani
Mwanamuziki wa maharufu wa Injili Tanzania na ukanda wa Afrika
Mashariki David Robert aliyevaa T Shirt Nyekundu akishuhudia igizo hilo la
UntoldStory
Sehemu ya waigizaji wa igizo hilo
No comments:
Post a Comment