Police wa Kuwait wamemkamata njiwa aliye kuwa amebeba madawa ya kulevya aina ya ketamine ambaye alikua amenasa kwenye bati la jengo la forodha katika bandari ya Abdel iliyopo mpakani mwa Kuwait na Iraq.
Katika taarifa iliolipotiwa kwenye BBC njiwa huyo alikamatwa baada ya kushindwa kuruka baada ya kuzidiwa na uzito wa dawa hizo ambapo alikua amebebeshwa kibegi kidogo mgongoni kilichijazwa vidonge178 vya dawa zinazoaminika kuwa na thamani kubwa akidaiwa kutoka Iraq.
Mbinu hii ya kutumia njiwa katika kusafirisha dawa za kulevya imekua ikitumika sana kwenye sehemu zenye ulinzi mkali ambapo mwaka 2015
Iliripotiwa kwa kukamatwa kwa njiwa aliye beba dawa za kulevya aina ya cocaine na bangi katika ukuta wa jengo la gereza Costa Rica.
Iliripotiwa kwa kukamatwa kwa njiwa aliye beba dawa za kulevya aina ya cocaine na bangi katika ukuta wa jengo la gereza Costa Rica.


No comments:
Post a Comment