A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, May 15, 2017

Nicki Minaj akanusha kuwa mpenzi wa rapa Nas….





Baada ya picha yao pamoja kuibua tetesi kuwa ni wapenzi kutokana na ZERO DISTANCE kati yao, rapa wa Young Money Nicki Minaj amekanusha tetesi hizi..

Kupitia twitter Nicki Minaj aliulizwa na shabiki kama anatoka na Nas, jibu lake halikuwa moa kwa moja HAPANA ila alihakikisha shabiki huyo anajua kuwa hizi ni TETESI tu na sio kweli.

Wiki hii wawili hawa waliongelewa kama COUPLE mpya kwenye hiphop baada ya post ya Minaj kusema “Only KINGS recognize QUEENS,

Nicki Minaj aliachana na Meek Mill December mwaka jana.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages