A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, May 29, 2017

Jonas Mkude apata ajali ya gari

Kiungo na Nahodha wa timu ya Simba SC, Jonas Mkude amepata ajali baada ya gari waliokuwa wakisafiri nalo kupinduka katika eneo la Dumila Mkoani Morogoro wakati wakirejea jijini Dar es salaam kutokea Dodoma.

Jonas Mkude


Ajali hiyo iliyohusisha  gari yenye namba za usajili T 834 BLZ, Toyota VX imetokea baada ya gurudumu la nyuma ya gari hiyo kupasuka na kusababisha kifo cha mtu mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Shose na majeruhi kadhaa ambapo wamewahishwa kwenye hospitali ya Mkoa wa Morogoro kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages