Mkurugenzi wa
Raslimali Watu wa Airtel Tanzania, Patrick Foya akizungumza na Wanafunzi wa
Shule ya Msingi Aga Khan, waliofanya ziaraMya mafunzo katika makao makuu
ya Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam.
Afisa Huduma
kwa Wateja wa Airtel Tanzania, Stephen Makongoro akifafanua jambo Wanafunzi wa
Shule ya Msingi Aga Khan waliofanya ziara ya mafunzo katika makao makuu ya
Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa
Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Franky Filman akizungumza na Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Aga Khan waliofanya ziara ya mafunzo katika makao makuu ya
Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wa
Shule ya Msingi Aga Khan wakiangalia bidhaa mbalimbali katika duka la
kisasa la Airtel lilipo makao makuu ya Airtel eneo la Morocco, jijini Dar es
Salaam
Maafisa wa
Airtel wakiwa katika picha ya pamoja na Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Msingi
Aga Khan waliofanya ziara ya mafunzo katika makao makuu ya Airtel eneo la
Morocco, jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment