Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)
alipokuwa akizungumza na mgeni wake Mwenyekiti wa Kampuni ya “Engineering
Consultants Groups”-ECG Bw.Amr Hassan Allouba yaliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar leo.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)
alipokuwa akifuatana na Mwenyekiti wa Kampuni ya “Engineering Consultants
Groups”-ECG Bw.Amr Hassan Allouba (katikati) baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo,(kushoto) Balozi wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Nchini Misri Balozi Mohamed Haji Hamza.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)
alipokuwa akisalimiana na mgeni wake Mwenyekiti wa Kampuni ya “Engineering
Consultants Groups”-ECG Bw.Amr Hassan Allouba alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
leo na ujumbe wake.
Katibu
Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulyahaya Mzee
(kushoto) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali
kuhusu Ripoti ya mkaguzi na Mdhibiti wa fedha za Serikali iliyozungumzia
upotevu wa fedha katika Mawizara mbali mbali ambazo zimekuwa zikilipwa kwa
makosa, katika ukumbi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Ikulu Mjini Zanzibar leo.




No comments:
Post a Comment