Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa
Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai mara baada ya
kuwasili mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Abdallah Bulembo mara
baada ya kuwasili mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha
Wageni mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma. Pembeni yake ni Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
pamoja na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai mara
baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma.







No comments:
Post a Comment