Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiongozana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam
Profesa Rwekaza Mukandala wakati akiwasili kuzindua majengo mapya ya mabweni ya
wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es
salaam.Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya
muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Makamu Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala wakati akiwasili kuzindua
majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la
Mlimani jijini Dar es salaam. Kiushoto ni Mama Janeth Magufuli na kulia ni
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga.
Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda
wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni10
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya mchoro toka
kwa Rais wa Wanafunzi wakati wa sherehe za kuzindua majengo mapya ya mabweni ya
wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam.
. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda
wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10. Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makonda
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati
wa sherehe za kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha
Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga. Mabweni hayo yenye
uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na
yamegharimu shilingi bilioni 10.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Makamu Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala wakati akielekea
kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam
eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua
wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi
bilioni 10
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisaidiana na viongozi wengine akizindua majengo mapya ya
mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la Mlimani jijini Dar
es salaam. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch.
Elius Mwakalinga. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3840,
yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni 10.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Elius Mwakalinga wakati
akizindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam
eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua
wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi
bilioni 10
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua baadhi ya mabweni baada
ya kuzindua majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es
salaam (UDSM). eneo la Mlimani jijini Dar es salaam. Mabweni hayo yenye uwezo wa
kuchukua wanafunzi 3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu
shilingi bilioni 10
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Makamu Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandala (kushoto) na Mkuu wa
Idara ya Sanaa za Ubunifu wa Chuo hicho Dkt. Kedmon Mapana baada ya kuzindua
majengo mapya ya mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam eneo la
Mlimani jijini Dar es salaam. Mabweni hayo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi
3840, yamejengwa chini ya muda wa mwaka mmoja na yamegharimu shilingi bilioni
10.










No comments:
Post a Comment