Katibu
Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji ametembelea Tenki la Maji la terminal lilipo
karibu na chuo kikuu cha ardhi ambalo linapokea maji kutoka mtambo wa Ruvu na
chini.
Pia ametembelea tenki kubwa jipya la
Maji lilipo Kibamba Luguruni ambalo linapokea maji kutoka mtambo wa Ruvu juu na
ametembelea Ofisi za Dawasco Mkoa wa Kibaha na kumalizia ziara yake kwa
kutembelea mtambo wa kuzalishia Maji wa
Katibu mkuu Wizara ya Maji na
Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo akiwa ameambatana na Ofisa Mtendaji mkuu
Dawasco,mhandisi, Cyprian Luhemeja katika ziara ya kutembelea Mtambo
Ruvu juu uliopo mkoani Pwani
Mkurugenzi
wa Huduma za Ufundi wa DAWASA, mhandisi Romanus Mwangingo, akitoa maelezo
mafupi kwa Katibu mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo
kuhusu tenki jipya la Maji lilipo Kibamba Luguruni ambalo linapokea maji kutoka
mtambo wa Ruvu juu mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea Mtambo huo wa
uzalishaji Maji wa Ruvu juu uliopo Mlandizi, mkoani Pwani.
Ofisa
Mtendaji mkuu Dawasco, mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo mafupi kwa
Katibu mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo katika ziara
ya kutembelea Mtambo Ruvu juu uliopo mkoani Pwani
Katibu
Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo akiwa katika picha ya
pamoja na watumishi wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Katibu
Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo akizungumza na
watumishi wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji leo jijini Dar es Salaam.
Watumishi
wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji wakimsilikiza Katibu Mkuu Wizara ya Maji na
Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo
Sehemu ya mtambo wa kusafirishia maji.
No comments:
Post a Comment