A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, March 5, 2026

MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA ABSA TANZANIA NA UJUMBE WAKE WAMTEMBELEA MKUU WA MKOA WA MBEYA OFISINI KWAKE

   

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Beno Malisa (kushoto), akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser, alipofika kumtembelea akiwa na ujumbe wake, ofisini kwake, mjini Mbeya jana. Bw. Laiser na ujumbe wake wapo mjini Mbeya kwa ziara ya kikazi.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Beno Malisa (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Uendeshaji wa Matawi wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Mwilongo Msungu, wakati Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Bw. Obedi Laiser (Katikati), na ujumbe wake, ukimtembela mkuu wa mkoa huyo, ofisini kwake, mjini Mbeya jana. Bw. Laiser na ujumbe huo wapo mjini Mbeya kwa ziara ya kikazi.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Beno Malisa (kushoto), akiwa na baadhi ya wakurugenzi wa Benki ya Absa Tanzania, wakati wa ziara ya Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Bw. Obedi Laiser (hayupo pichani), na ujumbe wake, walipomtembelea mkuu wa mkoa huyo, ofisini kwake, mjini Mbeya jana. Bw. Laiser na ujumbe huo wapo mjini Mbeya kwa ziara ya kibiashara. Katikati ni Mkurugenzi wa Wateja Binafsi, Bi. Ndabu Swere na Mkuu wa Uendeshaji wa Matawi, Bi. Mwilongo Msungu.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Beno Malisa (kulia), akiagana na Mkuu wa Mikakati na Data wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. John Mosha, wakati yeye, Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Bw. Obedi Laiser pamoja na maofisa wengine wa benki hiyo, walipomtembelea mkuu wa mkoa huyo, ofisini kwake, mjini Mbeya jana. Bw. Laiser na ujumbe huo wapo mjini Mbeya kwa ziara ya kikazi.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Beno Malisa (kulia), akiagana na Meneja wa Benki ya Absa mkoani humo, Bw. Alto Hagamu, na Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Melvin Saprapasen (kushoto), wakati wao, Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Bw. Obedi Laiser (hayupo pichani), pamoja na maofisa wengine wa benki hiyo, walipomtembelea mkuu wa mkoa huyo, ofisini kwake, mjini Mbeya jana. Bw. Laiser na ujumbe huo wapo mjini Mbeya kwa ziara ya kikazi.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Beno Malisa (wa sita kushoto), akipozi kwa picha ya kumbukumbu na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (kulia kwake), mara baada ya mkurugenzi huyo pamoja na ujumbe wake kumtembelea ofisini kwake mjini Mbeya jana wakiwa mkoani humo kwa ziara ya kikazi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages