A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Wednesday, February 26, 2025

DKT. SAMIA AZINDUA JENGO LA HALMASHARI YA MJI WA HANDENI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akikata utepe na kuweka Jiwe la Msingi kuashiria ufunguzi wa Jengo la Halmashauri ya Mji wa Handeni Mkoani Tanga ambalo Ujenzi wake umegharimu Shilingi Bilioni 3.6.
Rais Samia amezindua Jengo Hilo leo February 25,2025 wakati wa mwendelezo wa Ziara ya kikazi Mkoani Tanga.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages