Team kutoka NGO ya 'The Pink Tie Foundation' waliwatembelea wanafunzi wa Sullivan Provost Boys Secondary school kuwaelimisha kuhusu madhara yatokanayo na mapenzi ya jinsia moja (homosexuality) na jinsi ya kujikinga ili usiingizwe kwenye janga hilo na kupoteza utu wako (Manhood)
Mkurugenzi Mtendaji wa Shule ya wavulana ya Sullivan Provost #GRANDMA Rachel Mwalukasa (kushoto), akiwa na uongozi kutoka The Pink Tie Foundation walipofika shuleni hapo kwaajili yakutoa Elimu kwa wanafunzi juu ya athali ya mapenzi ya jinsia moja. Kutoka kulia ni Mr. Furaha Dominic Jacob, Madam Salma Dacota, Mtumishi Madam Lilian Mwasha, Madam Rifai Mpore .
Mkurugenzi Mtendaji wa Shule ya sekondari ya wavulana Sullivan Provost, Rachel Mwalukasa (kulia), akimshukuru mmoja ya watoe elimu Lilian Mwasha, wakati walipotembelea shule hiyo iliyopo kibaha kwa Mathias kwaajili yakuwapa Elimu wanafunzi jinsi yakuepuka mapenzi ya jinsia moja. wengine pichani ni mwalimu Mkuu wa Shule hiyo wapili kulia, Salma Dacota pamoja na Dominic Jacob.
No comments:
Post a Comment