Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi
Maalum Amon Mpanju akifungua Kongamano la Kitaifa la Wanawake
lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 katika Ukumbi wa AICC Jijini
Arusha.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mtandao
wa Jinsia Tanzania (TGNP) umeshiriki Kongamano la Kitaifa la Wanawake
lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 katika Ukumbi wa AICC Jijini
Arusha kwa lengo la kuwakutanisha Wanawake na wadau wengine katika
kujadili changamoto zinazowakabili Wanawake na Ustawi wao.
Kongamano hilo limeongozwa na kauli mbiu ‘Kizazi cha haki na usawa kwa maendeleo endelevu, Tujitokeze kuhesabiwa’.
Akifungua
Kongamano hilo Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wanawake na Makundi Maalum Amon Mpanju amesema Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mapinduzi makubwa
ndani ya kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wake kwa kuwezesha wanawake
kufikia kizazi cha haki na usawa kwa maendeleo endelevu.
Mpanju
amesema katika kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia
kumefanyika mapinduzi makubwa na hatua kubwa imepigwa katika kujenga
kizazi cha haki na usawa huku wanawake wakichaguliwa na kuteuliwa
kuongoza Idara nyeti katika taifa.
“Wanawake
ni nguzo ya maendeleo duniani. Ndani ya mwaka mmoja wa Uongozi wa Rais
Samia tumepiga hatua kubwa ndani ya mwaka mmoja, tuna Rais Mwanamke,
Spika wa Bunge Mwanamke, Katibu Mkuu wa Bunge mwanamke, tuna Mawaziri
wanawake 9 katika Wizara nyeti wanafanya kazi vizuri na maendeleo
tunayaona, mambo yanakwenda vizuri”,amesema Mpanju.
Mpanju
amewataka wadau na wananchi kwa ujumla kuwa tayari kutoa taarifa za
matukio ya ukatili wa kijinsia katika jamii ikiwemo ukeketaji kwa watoto
wa kike akiongeza kuwa ni vyema jamii ikapambana na vitendo vya ukatili
hasa dhidi ya Wanawake ili kutorudisha nyuma juhudi za Serikali na
wadau za kuleta Usawa wa kijinsia.
Amesema
jamii inatakiwa kusimama katika kupambana na kupinga Mila hasi za
kumnyima mwanamke haki na kumkandamiza katika kupata fursa mbalimbali
zinazojitokeza kwenye jamii ili kumuwezesha mwanamke kuwa na uwezo wa
kutatua changamoto zinazomkabili.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi
Maalum Amon Mpanju akifungua Kongamano la Kitaifa la Wanawake
lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 katika Ukumbi wa AICC Jijini
Arusha. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi
Maalum Amon Mpanju akifungua Kongamano la Kitaifa la Wanawake
lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 katika Ukumbi wa AICC Jijini
Arusha.
Mkurugenzi wa TGNP Lilian Liundi (kulia) akifuatilia hotuba ya
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi
Maalum Amon Mpanju wakati akifungua Kongamano la Kitaifa la Wanawake
lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 Jijini Arusha.
Wanachama
wa TGNP, Gemma Akilimali (kushoto) na Jovitha Mlay wakiwa kwenye
Kongamano la Kitaifa la Wanawake lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022
Jijini Arusha.
Wanachama
wa TGNP, Gemma Akilimali (kushoto) na Jovitha Mlay wakiwa kwenye
Kongamano la Kitaifa la Wanawake lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022
Jijini Arusha.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi
Maalum Amon Mpanju akifungua Kongamano la Kitaifa la Wanawake
lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 Jijini Arusha.
Wadau wakiwa kwenye Kongamano la Kitaifa la Wanawake lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 Jijini Arusha.
Mkurugenzi
wa TGNP Lilian Liundi (wa pili kushoto) akiwa kwenye Kongamano la
Kitaifa la Wanawake lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 Jijini
Arusha.
Mwanachama
wa TGNP, Gemma Akilimali akiandika dondoo muhimu kwenye Kongamano la
Kitaifa la Wanawake lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 Jijini
Arusha.
Wadau wakiwa kwenye Kongamano la Kitaifa la Wanawake lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 Jijini Arusha.
Wadau wakiwa kwenye Kongamano la Kitaifa la Wanawake lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 Jijini Arusha.
Wadau wakiwa kwenye Kongamano la Kitaifa la Wanawake lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 Jijini Arusha.
Wadau wakiwa kwenye Kongamano la Kitaifa la Wanawake lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 Jijini Arusha.
Wadau wakiwa kwenye Kongamano la Kitaifa la Wanawake lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 Jijini Arusha.
Wadau wakiwa kwenye Kongamano la Kitaifa la Wanawake lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 Jijini Arusha.
Wadau wakiwa kwenye Kongamano la Kitaifa la Wanawake lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 Jijini Arusha.
Wadau wakiwa kwenye Kongamano la Kitaifa la Wanawake lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 Jijini Arusha.
Wadau wakiwa kwenye Kongamano la Kitaifa la Wanawake lililofanyika leo Jumatatu Machi 7,2022 Jijini Arusha.
Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
No comments:
Post a Comment